Thursday, October 4, 2012

HIZI NDIO PICHA ZA MECHI YA JANA SIMBA NA YANGA



 Ubao wa Matokeo unavyoonekana baada ya kumalizika kwa Dakika tisini za Mchezo wa mzunguko wa kwanza wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya Simba na Yanga uliochezwa usiku wa leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Mshambuliaji wa Yanga,Said Bahanuzi akiwatoka mabeki wa timu ya Simba alipoingia kwenye lango la timu hiyo wakati wa mchezo wa mzunguko wa kwanza wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya Simba na Yanga uliochezwa usiku wa leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Timu hizo zimetoka sare ya kufungana bao 1-1.
 Didier Kavumbagu wa Yanga akiangalia nani wa kumpatia pasi mbele ya Mabeki wa timu ya Simba wakati wa mchezo wa mzunguko wa kwanza wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya Simba na Yanga uliochezwa usiku wa leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Timu hizo zimetoka sare ya kufungana bao 1-1.
 .....Hatari langoni mwa timu ya Simbaaa...... 
 Refarii wa mchezo wa huo,Mathew Akrama akitoa kadi nyekundu wa Mchezaji wa Yanga,Simon Msuva (27) baada ya kumchezea rafu Beki wa timu ya Simba,Juma Nyoso (24) alielala chini wakati wa mchezo wa mzunguko wa kwanza wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya Simba na Yanga uliochezwa usiku wa leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Timu hizo zimetoka sare ya kufungana bao 1-1.
 Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao lao la kusawazisha.
Kipa wa timu ya Simba,Juma Kaseja akiruka juu kudaka mpira uliokuwa ukielekea langoni kwake katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya Simba na Yanga uliochezwa usiku wa leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Timu hizo zimetoka sare ya kufungana bao 1-1.

0 comments:

Post a Comment