Wednesday, October 3, 2012

Emmanuel na Flora Mbasha Wafanya Kweli Ndani Ya Goma, Congo.


Mwanamuziki Wa Injili wa Nchini Tanzania Flora and Emmanuel Mbasha Safari hii Wametikisa Mji wa Goma Nchini Congo.


Katika Tamasha hilo ambalo lilihudhuriwa na Watu wengi wakazi wa Goma na Vitongoji vyake. Vilipelekea Jeshi la Congo kuingia Kazini kwa ajili ya Ulinzi wa Wanamuziki hao kila walipokuwa wanakwenda ili kuwaepusha na fujo za furaha za Wakazi wa Congo.

Flora na Emmanuel Mbasha ambao juzi kati wametoka Katika Nchi ya Marekani na Sasa Wako Congo, na baada ya hapo Watakuwa Wakijipanga na Trip zingine za Nje ya Nchi.

Flora na Emmanuel Mbasha ndio Wanamuziki Pekee wa Injili Tanzania ambao wiki chache zilizopita walionesha Moyo wa Shukrani kwa Media za Tanzania kwa Kutambua Mchango wa Vyombo Vya habari Vya Kikristo na Vile Mchanganyiko Maalum.

Big Up Emmanuel na Flora Kwa Kuwakilisha Vema Tanzania.
 Watu Nyomiiiii
 Hapa Ndipo walipokuwa wakikaa
 Kila wanapokwenda ni Ulinzi
 Watu Peopleee


 Twende Kazi
 Chezea Congo
 Emmanuel Mbasha akipita Kitaa na Askari
 Kuelekea kwenye Performance 
 Hii sijui Sebene ama Kiduku, naona Mzee Wa kutokelezea Emmanuel Mbasha akienda sawa na Mjeshi.
 Full Happiness
 Angekuwa Bongo angekuwa hana Kazi baada ya Hapo.
 Baada ya Vita sasa ni Sebene
Full nyomi

0 comments:

Post a Comment