Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akitaniana na mbunge wa Ilemela, Highnes Kiwia (Chadema), mara baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika Viwanja vya Magomeni, Kirumba jijini Mwanza, akiwa ziarani mkoani humo.Picha na Sitta Tumma
Paradaise Today | PATAKAZI, PATA AJIRA Boresha maisha
0 comments:
Post a Comment