Sunday, August 12, 2012

Dr. Stephen Ulimboka alejea Nchini.

Picture: Dr. Ulimboka Stephen
Kiongozi wa Jumuiya ya madaktari nchini Tanzania, Dkt. Steven Ulimboka, akiwa amebeba maua, na kuzungukwa na madaktari wenzake na wananchi wwengine, alipowasili nchini Jumapili Agosti 12, 2012, kwenye uwanja wa ndege wa kiamataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akitokea kwenye matibabu Afrika Kusini. Dkt. Ulimboka alisema yuko "fit" na anaweza kufanya shughuli zozote atakazopewa kuanzia sasa. (picha: Khalfan Said)
Picture
(picha na Khalfan Said)


0 comments:

Post a Comment