Thursday, April 12, 2012

Nafasi mbalimbali EABMTI



Nawajulisha kwamba kampuni yetu ya East Africa Business and Media Training Insittute (EABMTI) ina nafasi tatu zinazohitaji kujazwa mara moja kama ifuatavyo:

1. Dereva mwenye uzoefu wa kuendesha basi kwa ajili ya mradi wetu mpya wa zahanati mwendo (Mobile Clinic) unatarajiwa kuanza kufayakazi mara moja. Nafasi hiii ni kwa ajili ya mtu mwenye uchu wa kuhudumia watanzania walioko vijijini maana unalenga wakina mama na watoto. Huu ni mradi mahususi kwa ajili ya kuchangia indocators za MDG 5 na 6: maternal mortality and HIV and AIDS. Awe mtu mwenye idea ya ufundi wa magari, na multi skilled kwa ajili ya operations za hii clinic (see attached brochure). Si lazima ajue kiingereza lakin awe anafahamu kiasi mambo ya fleet hasa kwenye kuandika report, awe mtu anayeweza kufanya kazi kwa planning,

2. Technician mwenye idea na IT hasa mambo ya vifaa vya communicaiton vikiwemo projectors, generators etc. Ni vizuri akawa anafahamu kiingereza japo kile chetu cha kawaida kwa ajili ya simple reports, awe na idea ya namna health system in Tanzania works kwenye rural setting, mambo ya bodi za afya, local government authorities, planning circles za disctricts na municipals, 

3. Junior Program Officer: Awe anauwezo japo mdogo wa creative writing, anayejua kutumia computer , office programs especially word, pages, excel and other simple accounting packages, na presentation programs: 

4. Finance officer: walau ajue quick books: nafasi hii ni kwa watanzania

5. Personal Assistant to the Executive Chair: Awe kijana na preferably wa kike, mwenye elimu ya kutosha na uwezo wa kuongea kiingereza kizuri, awe mtu aliye organized hasa kwenye filing and documentation, si lazima awe mtanzania, lazima awe mchapakazi sana, mwenye nia ya kujifunza kwa haraka, mwaminifu na mpambanaji katika maendeleo.

Nafasi hizi zote ni kwa ajili ya kujazwa mara moja.

Tafadhali sana ndugu zangu kama unamtu utapenda ku refer kwa any of he positions announced naomba umfanyie usaili wa mwanzo kwanza ili kunipunguzia kazi. Tunataraji kuweka TOR za nafasi zote kwenye website yetu at www.eabmti.co.tz ( I hope I am correct)

email us on info@eabmti.gmail

0 comments:

Post a Comment