Tuesday, March 1, 2016

Mtendaji wa KIjiji daraja la II



HALMASHAURI YA WILAYA YA SIMANJIRO

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro anakaribisha maombi kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza bafasi mbili (2) za kazi zilivyoorodheshwa katika tangazo hili.
1. Mtendaji wa Kijiji daraja la II-nafasi 2

Sifa za muombaji
Elimu ya kidato cha nne (iv) au sita (vi) na mafunzo ya stashahada katika moja ya fani zifuatazo: utawala, sheria, elimu ya jamii, usimamizi wa fedha, maendeleo ya jamii na sayansi ya jamii kutoka chuo cha Serikali za mitaa Hombolo Dodoma au chuo chochote kinachotambulika na Serikali

Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 14 Machi, 2016 saa 9.30 Alasiri

Maombi yanaweza kuandikwa kwa lugha ya kiswahili au kingereza na yatumwe kupitia posta kwa anwani ifuatayo:
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
S.L.P 14389
ARUSHA

Source: Majira Machi 1,2016



0 comments:

Post a Comment