Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa anatarajia
kuendesha usaili na hatimae kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi
watakaofaulu usaili.
Wasailiwa walioitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia yafuatayo:
1. Usaili utaanza saa moja kamili asubuhi (1:00) na utafanyika mahali na
tarehe kama inavyoonesha katika nafasi husika.
2. Kuja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi mfano: kitambulisho cha
mkazi, kupigia kura, kazi, hati ya kusafiria n.k
3. Kuja na Vyeti Halisi (original certificates) vya kuanzia kidato cha nne,
sita, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea
kutegemeana na sifa za mwombaji.
4. "Testmonials", "Provisional Results", "Statement of results", hati matokeo
za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS)
HAVITAKUBALIWA.
6. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi.
7. Kila msailiwa azingatie tarehe na eneo alilopangiwa kufanyia usaili.
8. Kila msailiwa aje na cheti halisi cha kuzaliwa (Original Birth Certificate)
9. Kwa wale waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao
vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika (TCU & NECTA)
10. Wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue
kuwa hawakukidhi vigezo, hivyo wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi
zitakapotangazwa.
KUITWA KWENYE USAILI (12 Dec-14 Dec 2015)
(Call for Interview)

0 comments:
Post a Comment