Friday, November 20, 2015

Senior Human Resources & Administration Officer I



Holder of a Master's Degree with at least seven (7) years relevant working experience in the field.

APPLICATION INSTRUCTIONS:

Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji anawatangazia Watumishi wote wa Serikali (Watumishi wa Umma) ambao wangependa kufanya kazi na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji kuwa Chuo kina nafasi zinazotakiwa kujazwa kwa njia ya uhamisho.

Vigezo na Masharti:-
(i) Waombaji wote wanatakiwa wawe Watumishi wa Serikali (Watumishi wa Umma).

(ii) Barua za maombi ya Uhamisho lazima zipitishiwe kwa Mwajiri na zigongwe Muhuri.

(iii) Waombaji wote wanatakiwa kuwa na sifa na vigezo kama zilivyoainishwa kwenye mchanganuo wa nafasi hizo.

(iv) "Result Slip", "Testimonials" na "Partial Transcripts" havitakubaliwa.

(v) Vyeti halisi vya elimu vilivyotolewa na Shule/Vyuo vya nje ya Nchi vinatakiwa viwe vimetambuliwa na mamlaka husika TCU na NACTE.

(iv) Maombi hayo yatapolekewa ndani ya muda wa wiki mbili (2) kuanzia kutolewa kwa Tangazo hili, na yatatumwa kupitia anuani ufuatayo:-

Mkuu wa Chuo,
Chuo cha Taifa cha Usafirishaji,
S.L.P. 705,
DAR ES SALAAM.


0 comments:

Post a Comment