Friday, February 20, 2015

NAFASI ZA KAZI ZA KUJITOLEA - 2/19/2015



NAFASI ZA KAZI ZA KUJITOLEA - 2/19/2015
NAFASI ZA KAZI ZA KUJITOLEA

Taasisi ya fedha ya Mikopo Finance Limited iliyopo Dar es Salaam inatangaza nafasi za kazi za kujitolea katika nafasi Ifuatayo;

Ofisa wa kukusanya madeni (Recovery Officer)-Nafasi tatu (3)

Kazi kuu ya Afisa itakuwa kumsaidia Afisa mikopo kukusanya marejesho ya mikopo kutoka kwa wadaiwa wetu.

Maombi yatumwe katika email Ifuatayo; hr@mikopofinance.co.tz

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 26/02/2015



0 comments:

Post a Comment