MTENDAJI WA KIJIJI III (NAFASI 1 )
MAJUKUMU YA KAZI.
Afisa Masuuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji
Kusimamia Ulinzi na Usalama wa raia na mali zao; kuwa Mlinzi wa Amani na Msimamizi wa Utawala Bora katika Kijiji.
Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Kijiji.
Katibu wa Mikutano na kamati za Halmashauri ya Kijiji.
Kutafsiri na kusimamia Sera, Sheria na Taratibu.
Kuandaa Taarifa za Utekelezaji wa kazi katika eneo lake na
kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umasikini na kuongeza uzalishaji mali.
Kiongozi wa Wakuu wa Vitengo vya Kitaalam katika Kijiji
Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na Nyaraka za Kijiji.
Mwenyekiti wa Kikao cha Wataalamu waliopo katika Kijiji.
Kupokea,kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi;
Kusimamia utungaji wa Sheria Ndogo za Kijiji; na Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.
SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa mwenye Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo:- Utawala, Sheria.Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS.B kwa mwezi.
MASHART YA JUMLA KWA KAZI ZOTE:
10. Waoombaji weote wawe raia wa Tanzania wenye umri usiozidi miaka 45.
11. Waombaji ambao tayari ni watumishi wa umma na wamejipatia sifa katika kada tofauti walizo nazo wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa waajiri wao na waajiri wajiridhishe ipasavyo.
12. Nafasi ya kazi inayoombwa iandikwe juu ya bahasha; kuto kuzingatia hili kutasababisha maombi kuwa batili.
13. Waombaji waambatanishe maelezo binafsi yanayojitoshereza (detailed CV) yenye anuani na namba za simu zaza kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
14. Maombi yaambatane na nakala za vyeti vya taaluma, maelezo ,vyeti vya kidato cha nne au cha sita kwa wale waliofika kiwango hicho, vyeti vya kuzaliwa na vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika. Viambatanisho hivyo vibanwe sawa sawa kuondoa uwezekano wadondoka au kupotea. Astashahada/ stashahada/cheti, cheti za mitihani ya kidato cha IV NA VI, cheti cha kompyuta, picha moja ya "passport size" ya hivi karibuni iandikwe jina kwa nyuma.
15. Testimonials "provisional result" statement of result hati ya matokeo ya kidato cha nne na sita (FORM IV AND VI RESULTS SLIPS) havitakubaliwa.
16. Waombaji waombaji waliostaafishwa katika utumishi wa umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibari cha katibu mkuu kiongozi.
17. Uwasilihaji wa taalifa na sifa za kugushi wahsika watachukuliwa hatua za kisheria.
18. Mwiisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 16 desemba 2014.
Maombi yanaweza kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili au kiingereza na yatumwe kupitia posta kwa anuani ifuatayo:- Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya, Au
S.L.P.52,
Mkuu-Rombo.
District Executive Director,
Rombo District Council,
P.O. Box 52,
Mkuu-Rombo
M.A Maje
MKURUGENZI MTENDAJI ROMBO
CHANZO: MWANANCHI LA TAR 2 DESEMBA 2014.

0 comments:
Post a Comment