FUNDI SANIFU MSAIDIZI (ROADS) (NAFASI 1)
MAJUKUMU YA KAZI.
Kufanya marekebisho madogo madogo ya barabara katika eneo la Halmashauri
Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi
SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa waliomaliza kidato cha IV katika ma somo ya"
Sayansi na kufuzu mafunzo ya mwaka mmoja ya fani za
Ufundi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa naSerikali AU
Kuajiriwa waliomaliza kidato cha IV wenye cheti cha majaribio yaufundi Hatua ya II kutoka Chuo cha Ufundi katika maojawapo ya fani za Ufundi.
MSHAHARA:
Kwa kuzingatia ngazi za Mishahara ya Serikali yaani TGS A kwa mwezi.
MASHART YA JUMLA KWA KAZI ZOTE:
1. Waoombaji weote wawe raia wa Tanzania wenye umri usiozidi miaka 45.
2. Waombaji ambao tayari ni watumishi wa umma na wamejipatia sifa katika kada tofauti walizo nazo wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa waajiri wao na waajiri wajiridhishe ipasavyo.
3. Nafasi ya kazi inayoombwa iandikwe juu ya bahasha; kuto kuzingatia hili kutasababisha maombi kuwa batili.
4. Waombaji waambatanishe maelezo binafsi yanayojitoshereza (detailed CV) yenye anuani na namba za simu zaza kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
5. Maombi yaambatane na nakala za vyeti vya taaluma, maelezo ,vyeti vya kidato cha nne au cha sita kwa wale waliofika kiwango hicho, vyeti vya kuzaliwa na vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika. Viambatanisho hivyo vibanwe sawa sawa kuondoa uwezekano wadondoka au kupotea. Astashahada/ stashahada/cheti, cheti za mitihani ya kidato cha IV NA VI, cheti cha kompyuta, picha moja ya "passport size" ya hivi karibuni iandikwe jina kwa nyuma.
6. Testimonials "provisional result" statement of result hati ya matokeo ya kidato cha nne na sita (FORM IV AND VI RESULTS SLIPS) havitakubaliwa.
7. Waombaji waombaji waliostaafishwa katika utumishi wa umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibari cha katibu mkuu kiongozi.
8. Uwasilihaji wa taalifa na sifa za kugushi wahsika watachukuliwa hatua za kisheria.
9. Mwiisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 16 desemba 2014.
Maombi yanaweza kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili au kiingereza na yatumwe kupitia posta kwa anuani ifuatayo:- Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya, Au
S.L.P.52,
Mkuu-Rombo.
District Executive Director,
Rombo District Council,
P.O. Box 52,
Mkuu-Rombo

0 comments:
Post a Comment