Mkurugenzi wa halmashauri ya Ngorongoro anatangaza nafasi za kazi kwa watanzania wote
Mtendaji Wa Kijiji Daraja La III NAFASI 5 (MBADALA)
SIFA:
1. Awe amehiti na kufaulu kidato cha nne (IV) au sita (VI)
2. Awe amehitimu mafunzo ya astashahada (cheti) katika moja ya zifuatazo. Utawala, sharia, elimu ya jamii, usimamizi wa fedha, maendeleo ya jamii nay a sayansi ya sanaa kutoka chuo cha serikali za mitaa Hombolo, Dodoma au chuo chochote kinachotambuliwa.
KAZI ZA KUFANYA
1. Kusimamia ulizi na usalama wa raia mali zao na kuwa mlizi wa amani naa msimamizi wa utawala bora katika kijiji.
2. Kuratibu na kusimamia upangaji na usimamizi wa mipango ya maendeleo ya kijiji.
3. Kuwa katibu wa mikutano na kamati zote za halmashauri ya kijiji.
4. Kutafsiri na kusimamia sera, sharia na taratibu.
5. Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote za nyaraka za kijiji.
Mshahara TGS B yaani TSH. 345,000/= kwa mwezi.
MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI
A. Barua zote ziambatane na nyaraka zifuatazo;-
• Nakala za vyeti (form IV na mafunzo)
• Maelezo binafsi (CV)
• Picha ndogo mbili 2 za hivi karibuni (passportsize)
Barua ambazo hazikuambatana na nyaraka hizi hazitashughulikiwa
B. Waombaji walioajiriwa wapitishe barua zao za maombi kwa waajiri wao.
C. Umri wa waombaji ni kati ya miaka 18-40

APPLICATION INSTRUCTIONS:
Barua zote ziwe na anuani ya muombaji wa namba ya simu (kama ipo) na zitumwe kwa.
MKURUGEZI MTENDAJI,
HALMASHAURI YA WILAYA NGORONGORO,
S.L.P 1
LOLIONDO.
Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ni tarehe 29/12/2014 saa tisa na nusu (9:30) alasiri.
John .Mgalula
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA
NGORONGORO.

0 comments:
Post a Comment