Tuesday, December 30, 2014

AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA - DESEMBA 2014

AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA - DESEMBA 2014
HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji (W) Ulanga anawatangazia wananchi wote walio na sifa kwamba  nafasi za kazi kama zifuatavyo
NAFASI; KATIBU MAHSUSI DARAJA LA III (NAFASI 5)
SIFA
•    Awe amehitimu kidato cha Nne au Sita na kutunukiwa cheti
•    Awe amehitimu na kufaulu mafunzo ya Uhazili au Chuo chochote kinachotambuliwa na serikali na kufuzu Mtihani wa hatua ya tatu
KAZI ZA KUFANYA
•    Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida
•    Kusaidia kupokea wageni na kuwaelekeza
•    Kutunza taarifa mbalimbali
•    Kusaidia kutafuta majalada na nyaraka mbalimbali
MSHAHARA; kiwango cha mshahara ni ngazi ya TGS.B yaani 345,000/= kwa mwezi
MASHARTI YA JUMLA YA WAOMBAJI
•    Awe ni raia wa Tanzania
•    Awe na umri wa miaka 18-41
•    Awe hajawahi kuhukumiwa na kufungwa/kukabiliwa na kosa la jinai au kufukuzwa kazi.
•    Watumishi wa umma walioajiliwa hawapaswi kuomba
•    Maombi yote yaandikwe kwa mkono na kuambatanisha makala za vyeti vya Shule na taaluma, passport size mbili (2)
•    CV
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 15/01/2015 saa 9:30 Alasiri na maombi yote yatumwe kwa anwani
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
S.L.P 22
MAHENGE/ULANGA
==========

NAFASI; MTUNZA KUMBUKUMBU MSAIDIZI DARAJA LA III (NAFASI 2)
SIFA
•    Awe amehitimu kidato cha Nne au Sita
•    Wenye cheti cha Utunzaji wa kumbukumbu katika mojawapo ya fani ya Afya, Masjala, Mahakama na Ardhi
KAZI ZA KUFANYA
•    Kutafuta kumbukumbu, nyaraka na majalada yanayohitajiwa
•    Kuthibiti upokeaji na uandikishaji wa kumbukumbu
•    Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu
•    Kuweka kumbukumbu katika majalada
MSHAHARA; kiwango cha mshahara ni ngazi ya TGS.B yaani 345,000/= kwa mwezi
MASHARTI YA JUMLA YA WAOMBAJI
•    Awe ni raia wa Tanzania
•    Awe na umri wa miaka 18-41
•    Awe hajawahi kuhukumiwa na kufungwa/kukabiliwa na kosa la jinai au kufukuzwa kazi.
•    Watumishi wa umma walioajiliwa hawapaswi kuomba
•    Maombi yote yaandikwe kwa mkono na kuambatanisha makala za vyeti vya Shule na taaluma, passport size mbili (2)
•    CV
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 15/01/2015 saa 9:30 Alasiri na maombi yote yatumwe kwa anwani
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
S.L.P 22
MAHENGE/ULANGA
==========

NAFASI; AFISA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI DARAJA LA II
SIFA
•    kuajiriwa kidato cha Nne au sita
•    wenye cheti cha mafunzo ya miaka miwili katika fani ya maendeleo ya jamii kutoka Chuo chochote kinachotambuliwa na serikali
KAZI ZA KUFANYA
•    kuratibu shughuli zote za maendeleo ya jamii kwa kuzingatia jinsia
•    kuhamasisha kuondokana na mila potofu
•    kuelimisha jamii kuhusu masuala ya watoto
MSHAHARA; kiwango cha mshahara ni ngazi ya TGS.B yaani 345,000/= kwa mwezi
MASHARTI YA JUMLA YA WAOMBAJI
•    Awe ni raia wa Tanzania
•    Awe na umri wa miaka 18-41
•    Awe hajawahi kuhukumiwa na kufungwa/kukabiliwa na kosa la jinai au kufukuzwa kazi.
•    Watumishi wa umma walioajiliwa hawapaswi kuomba
•    Maombi yote yaandikwe kwa mkono na kuambatanisha makala za vyeti vya Shule na taaluma, passport size mbili (2)
•    CV
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 15/01/2015 saa 9:30 Alasiri na maombi yote yatumwe kwa anwani
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
S.L.P 22
MAHENGE/ULANGA
===========

NAFASI; AFISA MTENDAJI KIJIJI DARAJA LA III (NAFASI 32)
SIFA
•    kuajiriwa kidato cha Nne au sita na kuendelea na kuhitimu mafunzo ya stashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo; Utawala, sheria, Elimu ya Jamii na Maendeleo ya jamii kutoka Chuo chochote kinachotambuliwa na serikali
KAZI ZA KUFANYA
•    kusimamia ulinzi na usalama wa raia katika eneo lake
•    katibu wa mikutano yote ya Halmashauri ya Kijiji
•    kuandaa taarifa ya utekelezaji na kuwasilisha
•    afisa Masuuli na Mtendaji Mkuu wa serilkali ya Kijiji
MSHAHARA; kiwango cha mshahara ni ngazi ya TGS.B yaani 345,000/= kwa mwezi
MASHARTI YA JUMLA YA WAOMBAJI
•    Awe ni raia wa Tanzania
•    Awe na umri wa miaka 18-41
•    Awe hajawahi kuhukumiwa na kufungwa/kukabiliwa na kosa la jinai au kufukuzwa kazi.
•    Watumishi wa umma walioajiliwa hawapaswi kuomba
•    Maombi yote yaandikwe kwa mkono na kuambatanisha makala za vyeti vya Shule na taaluma, passport size mbili (2)
•    CV
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 15/01/2015 saa 9:30 Alasiri na maombi yote yatumwe kwa anwani
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
S.L.P 22
MAHENGE/ULANGA
==============

0 comments:

Post a Comment