Tuesday, December 30, 2014

AFISA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI DARAJA LA II


AFISA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI DARAJA LA II
HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji (W) Ulanga anawatangazia wananchi wote walio na sifa kwamba  nafasi za kazi kama zifuatavyo
NAFASI; AFISA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI DARAJA LA II
SIFA
•    kuajiriwa kidato cha Nne au sita
•    wenye cheti cha mafunzo ya miaka miwili katika fani ya maendeleo ya jamii kutoka Chuo chochote kinachotambuliwa na serikali
KAZI ZA KUFANYA
•    kuratibu shughuli zote za maendeleo ya jamii kwa kuzingatia jinsia
•    kuhamasisha kuondokana na mila potofu
•    kuelimisha jamii kuhusu masuala ya watoto
MSHAHARA; kiwango cha mshahara ni ngazi ya TGS.B yaani 345,000/= kwa mwezi
MASHARTI YA JUMLA YA WAOMBAJI
•    Awe ni raia wa Tanzania
•    Awe na umri wa miaka 18-41
•    Awe hajawahi kuhukumiwa na kufungwa/kukabiliwa na kosa la jinai au kufukuzwa kazi.
•    Watumishi wa umma walioajiliwa hawapaswi kuomba
•    Maombi yote yaandikwe kwa mkono na kuambatanisha makala za vyeti vya Shule na taaluma, passport size mbili (2)
•    CV
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 15/01/2015 saa 9:30 Alasiri na maombi yote yatumwe kwa anwani
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
S.L.P 22
MAHENGE/ULANGA


Related Posts:

  • DraftsmanJob Title : Draftsman Source : The Guardian, July 18, 2011 Requirements : At least 5 years relevant experience in Mechanical Engineering related jobs Job Description :To handle the designing of new products and custom made pr… Read More
  • Finance ManagerJob Title : Finance Manager Source : The Guardian, July 18, 2011 Requirements : BSc or BA in Accounting/Finance or Advanced Diploma in Accounting Job Description :Responsible for generating monthly, quarterly and annual finan… Read More
  • Assistant AccountantJob Title : Assistant Accountant Source : Kilimanjaro Airports Development Company Requirements : Bachelor of Commerce /Advanced Diploma in Accounting Job Description : Apply To : Managing Director Full Address : Kilimanjaro … Read More
  • Administrative AssistantJob Title : Administrative Assistant Source : The Guardian, July 18, 2011 Requirements : Diploma in Secretarial studies from a recognized Training Institution Job Description :To provide administrative support for the council… Read More
  • Design EngineerJob Title : Design Engineer Source : The Guardian, July 18, 2011 Requirements : At least 5 years relevant experience in Mechanical Engineering related jobs Job Description :To plan for and archive production targets on time A… Read More

0 comments:

Post a Comment