Wednesday, November 26, 2014

NAFASI YA KAZI: MTENDAJI WA KIJIJI III(NAFASI 26)


NAFASI YA KAZI: MTENDAJI WA KIJIJI III(NAFASI 26)
TANGAZO LA NAFASIZA KAZI
MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGI
NAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WENYE SIFA KUOMBA NAFASI ZA KAMA IFUATAVYO
1. NAFASI YA KAZI: MTENDAJI WA KIJIJI III(NAFASI 26)
Sehemu: Halmashauri ya wilaya ya Ikungi- Singida.
SIFA ZA MWOMBAJI:
•Awe na Elimu ya Kidato cha Nne( IV) au Sita (VI)
•AJiyehitimu mafunzo ya Astashahada/Stashahada katika moja ya fani
zifuatazo: Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa fedha, Maendeleo ya Jamii, na sayansi ya sanaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au chuo chachote kinachotambuliwa na Serikali.

KAZI NA MAJUKUMU
Kazi/Majukumu ya kufanya:
a. Mtendaji Mkuu wa Serikali wa Kijiji.
b. Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mati zao.
Kuratibu na kusimamia upangaji na utekelezaji wa mipango ya maendeleo
yakijiji.
c.Katibu wa mikutano na kamati zote za Halmashauri ya kijiji.
d. Kutafsiri na kusimamia sera, sheria na taratibu.
e. Kuandaa taarlfa za utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha
wananchi katika kuandaa na kutekeleza uza1ishaji mali.
f. Kiongozi waWakuu wa vitengo vya kitaalam katika kijiji. .
g. Kusirnamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za kijiji.
h. Kusimamia utungaji wa sheria ndogo za kijiji.
i. Atawajibika kwa mtendaji wa kata.

MSHAHARA:
Mshahara wa kuanzia ni kima cha serikati katika ngazi ya TGS. B ambayo ni
T.Shs.34S,OOO/= kwa mwezi.


UTARATIBU WA UOMBAJI:
Mwombaji awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote key Halmashauri ya Wilaya ya lkungi.
Barua za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, Taaluma, Cheti eha kuzaliwa na picha mbili za rangi (Passport size)
Barua za maombi ziambatanishwe na maelezo Binafsi ya mwornbaji (CV].
Waombaji waliosorna nje ya nehi, waambatanishe uthibitisho wa vyeti vyao kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA). •
Waombaji wote wanatakiwa wawe na umri kuanzia 18 hadi umri usiozidi miaka 45.
Waombaji waliokidhi sifa wataitwa kwenye usaili
Waombaji watakaoitwa kwenye usaili watatakiwa waje na vyeti halisi(original Certificate).
Waombaji waandike anuani zao kwa usahihi na namba zao za simu

Maombi yote yatumwe kwa anwani ifuatayo:-
MKURUGENZI MfENDAJI (W),
HALMASHAURIYA WILAYAIKUNGI,
S.L.P.42,
SINGIDA
==========


0 comments:

Post a Comment