Wednesday, November 26, 2014

NAFASI YA KAZI : MSAIDIZI WA OFISI (NAFASI 5)



NAFASI YA KAZI : MSAIDIZI WA OFISI (NAFASI 5)
TANGAZO LA NAFASIZA KAZI
MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGI
NAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WENYE SIFA KUOMBA NAFASI ZA KAMA IFUATAVYO

Sehemu: Halmashauri ya wilaya ya Ikungi- Singida.
SIFA ZA MWOMBAJI:
•Awe na Elimu ya Kidato cha Nne( IV) au Sita (VI)
•AJiyehitimu mafunzo ya Astashahada/Stashahada katika moja ya fani
zifuatazo: Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa fedha, Maendeleo ya Jamii, na sayansi ya sanaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au chuo chachote kinachotambuliwa na Serikali.
NAFASI YA KAZI : MSAIDIZI WA OFISI (NAFASI 5)

SIFA ZA MWOMBA.Jl:
Awe wamehitimu wa kidato eha nne (IV) na waliofauJu vizuri katika masomo ya kiingereza, kiswahili na Hisabati.

KAZI/ MAJUKUMU YA MSAIDIZI WA OFISI
a. Kufanya usafi wa ofisi na mazingira ya nje na ndani ikiwa ni pamoja na kufagia, kufuta vurnbi, kupiga deki, kukata majani, kupalilia bustani, kumwagilia maji bustani, kupanda maua au miti na kusafisha vyoo. .
b.Kuehuka na kupeleka rnajalada na hati nyingine kwa maofisa wanaohusika na kuyarudisha sehemu zinazohusika.
e.Kusambaza barua za ofisi kama jinsi atakavyoelekezwa
f.Kutayarisha chai ya ofisi
g.Kupeleka mfuko wa posta na kuehukua barua kutoka posta.
h.Kuhakikisha kwamba vifaa vya ofisi vinawekwa sehemu zinazostahili.
i.Kufungua milango na madirisha ya ofisi wakati wa asubuhi na jioni na kuyafunga baada ya saa za kazi.
h.Kudurufu barua au maehapisho kwenye rnashine za kudurufia
i.Kuweka katika majalada nakala za barua zilizochapwa katika ofisi walizomo
j.Kutunza vifaa vya ofisi na kutoa ripoti kila vinapoharibika.

MSHAHARA
Mshahara kwa nafasi hiyo ni TGOS 'A' sawa na T.Sha.265,OOO/= kwa mwezi

UTARATIBU WA UOMBAJI:
Mwombaji awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Wilaya ya lkungi.
Barua za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, Taaluma, Cheti eha kuzaliwa na picha mbili za rangi (Passport size)
Barua za maombi ziambatanishwe na maelezo Binafsi ya mwornbaji (CV].
Waombaji waliosorna nje ya nehi, waambatanishe uthibitisho wa vyeti vyao kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA). •
Waombaji wote wanatakiwa wawe na umri kuanzia 18 hadi umri usiozidi miaka 45.
Waombaji waliokidhi sifa wataitwa kwenye usaili
Waombaji watakaoitwa kwenye usaili watatakiwa waje na vyeti halisi(original Certificate).
Waombaji waandike anuani zao kwa usahihi na namba zao za simu

Maombi yote yatumwe kwa anwani ifuatayo:-
MKURUGENZI MfENDAJI (W),
HALMASHAURIYA WILAYAIKUNGI,
S.L.P.42,
SINGIDA
==============




0 comments:

Post a Comment