Thursday, November 27, 2014

AJIRA BONITE BOTTLERS LTD - NOV 2014



AJIRA BONITE BOTTLERS LTD - NOV 2014
DEREVA WA MAGARI MAKUBWA POSITION DESCRIPTION:

SIFA ZA MUOMBAJI.

1. AWE NA ELIMU YA DARASA LA SABA NA KUENDELEA.

2. AWE NA UMRI KATI YA MIAKA 25 NA 45.

3. AWE NA UZOEFU WA KUENDESHA MAGARI MAKUBWA KWA MUDA USIOPUNGUA MIAKA MITANO NA KUENDELEA.

4. AWE NA LESENI MPYA

5. AWE NA BARUA YA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MWAJIRI WAKE ALIPOKWISHA FANYA KAZI AU CHETI CHA UTUMISHI.

APPLICATION INSTRUCTIONS:

JINSI YA KUTUMA MAOMBI.
Barua zote ziambatanishwe na vivuli vya vyeti vya taaluma, barua za utumishi (Certificate of service), leseni ya udereva, namba za simu n.k. Barua za maombi zitumwe kwa Mkurugenzi Mtendaji Bonite Bottlers Limited kwa anuani hapo chini.

MKURUGENZI MTENDAJI,
BONITE BOTTLERS LTD,
P.O.BOX 1352,
MOSHI.

Quality Assurance Technician
Qualification:
• Applicant should be a holder of form IV/VI certificates and possess Level III or Grade I of Laboratory Technology.

Key skills & Abilities:
• Knowledge in laboratory technology aspect
• Process and product quality monitoring and control skills
• Able to work independently with minimum supervision
• Self motivated and flexible person

? Experience: any experience in quality assurance field will be added advantage.
Mode of Application:

All applications accompanied with cover letter, photocopies of certificates and CVs to be sent to the undersigned, to reach him not later than 05/12/2014.

The Managing Director,
Bonite Bottlers Ltd,
P. O. Box 1352,
MOSHI.




0 comments:

Post a Comment