Tuesday, October 14, 2014

TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU - OCT 2014

TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU - OCT 2014
HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU
TANGAZO LA KAZI.

Mkurugenzi wa mtendaji wa halmashauri ya Meru anawatanzia wanchi wote wenye  na nia ya  kufanya  katika halmashari ya wilaya  ya  meru nafasi mbali mbali za kazi kama ifuatavyo:
DEREVA DARAJA LA II NAFASI 9
a)     SIFA
i.     Awe na elimu ya kidato cha iv au vi
ii.    Awe na leseni ya udereva daraja c
iii.    Awe na  uzoefu wa kuendesha magari  kwa muda usiopungua miaka 3 bila kusababisha  ajali.
iv.    Awe na cheti cha majaribio ya ufundi daraja la II(trade test II)
v.    Awe na  umri usiozidi miaka 45.
vi.    Mshahra: ngazi ya TGOS.A sawa na sh.  265,000/= kwa mwezi.
Barua za maombi ziambatanishwe bna nakala za  vyeti vya elimu, taaluma na chati  cha kuzaliwa.
Mwisho wa kutuma maombi tar 27.10.2014  saa 9:30 alasiri.
Maombi latumwe kwa anuani ifuatayo.
Mkurugezi mtendaji wilaya,
Halmashauri ya wilaya Meru,
S.L.P 3083
ARUSHA.
LIMETOLEWA NA
DANSTAN L. MALLYA
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU.
CHANZO: MWANACHI LA TAR 13 OKTOBA 2014.
===========
     
2. MSAIDIZI WA OFISI- NAFASI 4.
a). sifa
i.  awe na elimu ya kidato cha IV
ii. awe  amefauru vizuri katika masomo ya kingereza, Kiswahili na hisabati.
iii. awe na umri usiozidi miaka  45
vii.    Mshahara : ngazi ya TGSOA.A sawa  n ash. 655,000/= kwa mwenzi.
Barua za maombi ziambatanishwe bna nakala za  vyeti vya elimu, taaluma na chati  cha kuzaliwa.
Mwisho wa kutuma maombi tar 27.10.2014  saa 9:30 alasiri.
Maombi latumwe kwa anuani ifuatayo.
Mkurugezi mtendaji wilaya,
Halmashauri ya wilaya Meru,
S.L.P 3083
ARUSHA.
LIMETOLEWA NA
DANSTAN L. MALLYA
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU.
CHANZO: MWANACHI LA TAR 13 OKTOBA 2014.
===========   

 3.  MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA  DARAJA LA  II- NAFASI 6.
A) sifa
 i.   awe na elimu ya kodato cha IV au VI
ii. awe na cheti za utunzaji wa kumbukumbu katika mojawapo ya fani za afya, masjala, mahakama na ardhi.
iii. awe na umri usiozidi miaka.
b)     Mshahara: ngazi ya  TGS.B sawa n ash. 345,000/= kwa mwezi.
Barua za maombi ziambatanishwe bna nakala za  vyeti vya elimu, taaluma na chati  cha kuzaliwa.
Mwisho wa kutuma maombi tar 27.10.2014  saa 9:30 alasiri.
Maombi latumwe kwa anuani ifuatayo.
Mkurugezi mtendaji wilaya,
Halmashauri ya wilaya Meru,
S.L.P 3083
ARUSHA.
LIMETOLEWA NA
DANSTAN L. MALLYA
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU.
CHANZO: MWANACHI LA TAR 13 OKTOBA 2014.
===========     
4. MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III- NAFASI 15.
a) sifa
i.    Awe na elimu ya kidato cha IV au VI
ii. awe na astashahada /cheti katika moja ya fani zifuatazo utawala, sharia na elimu ya jamii, usimamizi wa fedha, maendeleo ya jamii na sayansi ya sanaa kutoka chuo kinacho tambuliwa na serikali.
iii. Awe na umri usiozidi miaka 45.
c)    Mshahara: ngazi ya  TGS.B sawa n ash. 345,000/= kwa mwezi.
Barua za maombi ziambatanishwe bna nakala za  vyeti vya elimu, taaluma na chati  cha kuzaliwa.
Mwisho wa kutuma maombi tar 27.10.2014  saa 9:30 alasiri.
Maombi latumwe kwa anuani ifuatayo.
Mkurugezi mtendaji wilaya,
Halmashauri ya wilaya Meru,
S.L.P 3083
ARUSHA.
LIMETOLEWA NA
DANSTAN L. MALLYA
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU.
CHANZO: MWANACHI LA TAR 13 OKTOBA 2014.
===========
5. AFISA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI DARAJA LA III
a)  sifa
i.    Awe na elimu ya kidato cha IV au VI
ii. awe amehudhuria mafunzo ya uhazili na kufaulu mtihani wa hatua ya tatujamii au vyuo vingine vinavyotambliwa.
iii. awe na umri usiozidi miaka 45.
B. MSHAHARA: Mshahara: ngazi ya  TGS.B sawa n ash. 345,000/= kwa mwezi.
Barua za maombi ziambatanishwe bna nakala za  vyeti vya elimu, taaluma na chati  cha kuzaliwa.
Mwisho wa kutuma maombi tar 27.10.2014  saa 9:30 alasiri.
Maombi latumwe kwa anuani ifuatayo.
Mkurugezi mtendaji wilaya,
Halmashauri ya wilaya Meru,
S.L.P 3083
ARUSHA.
LIMETOLEWA NA
DANSTAN L. MALLYA
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU.
CHANZO: MWANACHI LA TAR 13 OKTOBA 2014.
===========

6.  KATIBU MAHSUSI DARAJA LA III- NAFASI- 4
a) sifa
i)  Awe na elimu ya kidato cha IV au VI
ii) awe amehudhuria mafunzo ya uhazili na kufaulu mitihani wa hatua ya tatu
iii. awe amefaulu  somo la hatimkato ya kingereza na Kiswahili maneno 80 kwa dakika moja.
iv. Awe amepata mafunzo ya kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa serikali na kupata cheti katika program za window, Microsoft office, e- mail na publishers.
v. Awe na umri usiozidi miaka 45.
b.    )Mshahara: ngazi ya  TGS.B sawa n ash. 345,000/= kwa mwezi.
Barua za maombi ziambatanishwe bna nakala za  vyeti vya elimu, taaluma na chati  cha kuzaliwa.
Mwisho wa kutuma maombi tar 27.10.2014  saa 9:30 alasiri.
Maombi latumwe kwa anuani ifuatayo.
Mkurugezi mtendaji wilaya,
Halmashauri ya wilaya Meru,
S.L.P 3083
ARUSHA.
LIMETOLEWA NA
DANSTAN L. MALLYA
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU.
CHANZO: MWANACHI LA TAR 13 OKTOBA 2014.
===========

7. FUNDI SANIFU MSAIDIZI –NAFASI 5.
a)  sifa
i. Awe na elimu ya kidato cha IV au VI
ii. awe na cheti za mafunzo ya mwaka mmoja katika moja ya fani za ufundi kutoka chuo mojawapo ya fani za ufundi.
iii. Awe na umri usiozidi miaka 45.
vi. mshahara: ngazi ya  TGS.A sawa na sh. 295,000/= KWA MWEZI.
Barua za maombi ziambatanishwe bna nakala za  vyeti vya elimu, taaluma na chati  cha kuzaliwa.
Mwisho wa kutuma maombi tar 27.10.2014  saa 9:30 alasiri.
Maombi latumwe kwa anuani ifuatayo.
Mkurugezi mtendaji wilaya,
Halmashauri ya wilaya Meru,
S.L.P 3083
ARUSHA.
LIMETOLEWA NA
DANSTAN L. MALLYA
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU.
CHANZO: MWANACHI LA TAR 13 OKTOBA 2014.

0 comments:

Post a Comment