Thursday, October 2, 2014

KATIBU MUHTASI III (NAFASI 3)


KATIBU MUHTASI III (NAFASI 3)
MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA MASASI



Barua zote zielekzwe kwa mkurugenzi mtendaji (W)
TANGAZO LA KAZI.

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya masasi anatangaza nafasi za kazi kwa raia wa wa Tanzania wenye sifa kama ifuatavyo:-

KATIBU MUHTASI III (NAFASI 3)

SIFA:

• Awe amehudhuria mafunzo ya uhadhili na kaufaulu mtihani wa hatua ya tatu.
• Awe amefaulu somo la hatimkato ya Kiswahili na kiingereza maneno 80 kwa dakika moja.
• Awe amepata masomo ya kompyuta katika chuo kinachotambuliwa na serikali na kupata cheti katika program za windows, Microsoft office, internet,E-mail na publisher.
MSHAHARA:
• Mhahara ni katika ngazi ya mshahara ya TGS B
MAJUKUMU
• Kuchapa barua taarifa na nyaraka za kawaida
• Kusaidia kupokea wageni.
• Kusaidia kutuinza taarifa na kumbukumbu za matukio, miadi ya wageni n.k
• Kusaidia na kumpatia mkuu wake majarada na nyaraka nk.
• Kutekereza shughuli zote atazopangiwa na simamizi wake wa kazi.
MASHARTI YA JUMLA.
• Awe raia wa Tanzania.
• Awe na elimu ya kidato cha nne au sita.
• Awe na umri usiozidi miaka 45.
• Awe na akili timamu.
NAMNA YA KUTUMA MAOMBI.
Maombi yatumwe kwa :-
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
HALMASHAURI YA WILAYA
S.L.P 60
MASASI
Mwisho wa kutuma maombi tarehe 10/10/2014 saa 9:30 alasili maombi yaambatanishwe na nakala za vyeti ya shule na vya chuo CV na vyeti vya kuzaliwa.
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
HALMASHAURI YA WILAYA
MASASI
CHANZO: GAZETI LA MAJIRA LA TAREHE 1 OKTOBA 2014.


0 comments:

Post a Comment