SIFA
• Awe na leseni daraja la C ya uendeshaji na uzoefu wa kuendesha magari usiopungua miak 3 bila kusababisha ajali.
• Awe na cheti chha majaribio ya ufundi daraja la II.
MAJUKUMU
• Kuendesha magari ya abiria na maroli
• Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali nzuri wakati wote na kufanya uchunguzi wa gari kabla na baada ya kusafiri ili kugundua ubovu unaohitajika matengenezo.
• Kufanya matengenezo madogomadogo katika gari.
• Kutuza na kuandika daftari la safari log book kwa safari zote.
MASHARTI YA JUMLA.
• Awe raia wa Tanzania.
• Awe na elimu ya kidato cha nne au sita.
• Awe na umri usiozidi miaka 45.
• Awe na akili timamu.
NAMNA YA KUTUMA MAOMBI.
Maombi yatumwe kwa :-
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
HALMASHAURI YA WILAYA
S.L.P 60
MASASI
Mwisho wa kutuma maombi tarehe 10/10/2014 saa 9:30 alasili maombi yaambatanishwe na nakala za vyeti ya shule na vya chuo CV na vyeti vya kuzaliwa.
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
HALMASHAURI YA WILAYA
MASASI
CHANZO: GAZETI LA MAJIRA LA TAREHE 1 OKTOBA 2014.
0 comments:
Post a Comment