C H U O CH A E L I M U YA B I A S H A R A (CBE)
"CHINI YA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA"
KAMPASI YA MBEYA
TANGAZO LA NAFASI ZA KUJIUNGA NA MASOMO NGAZI YA ASTASHAHADA (CERTIFICATE) NA STASHAHADA (DIPLOMA) KWA MWAKA WA MASOMO 2014/2015 KATIKA FANI ZIFUATAZO:
- Uhasibu ( Accountancy)
- Masoko (Marketing Management)
- Ununuzi na Ugavi (Procurement & Supplies Management)
- Usimamizi wa Biashara (Business Administration)
1. Fomuza kujiunga zinapatikana Chuoni Jengo la chuo kikuu Huria ( Kituo cha Mbeya) Forest ya zamani, CBE DAR ES SALAAM, CBE DODOMA, CBE MWANZA au Bofya hapa Chini Ku Download
2. Wahitimu wa kidato cha nnewenye ufaulu usiopungua D nne watajiunga moja kwamoja.
3. Kujiunga na stashahada (diploma) wahitimu wa kidato cha sita wenye ufaulu usiopungua Principal pass moja, subsidiary pass mbili Au wenye astashahada husika yaani (certificate) kutoka Chuo kinachotambuliwa na NACTE
Masomo kwa ngazi zote yanatolewa kuanzia asubuhi hadi jioni (FULL TIME) na jioni (EVENING PROGRAM) jumatatu hadi ijumaa.
Ewe mwananchi jiunge na chuo chenye uzoefu wa zaidi ya miaka 49 katika elimu ya Biashara, Ujasiriamali, Ushauri na Utafiti.
Tunaendelea kupokea maombi ya kujiunga katika ngazizote
Kwa maelezo zaidi piga simu namba, 0654-878704 / 0767-288874
0 comments:
Post a Comment