Monday, September 22, 2014

DEREVA WA MAGARI MAKUBWA



DEREVA WA MAGARI MAKUBWA
M.A CARGO
TRUCKERS & FOWERDERS LIMITED
 NAFASI ZA KAZI 

 DEREVA WA MAGARI MAKUBWA(NAFASI AROBAINI(40)
Kampuni  ya A.M CARGO TRUCKERS & FORWARDERS CO.LITED. yenye  uzosfu wa mudamrefu kwa usafirishaji wa bidhaa mbalimbali  kwa nchi za afrika mashariki na kazi inapenda kutangaza nafasi za kazi kwa madereva wenye uzoefu wa kuendesha mangari makubwa watakao safirisha bidhaa za mafuta na mizigo ya container kwend nje ya nchi.
MAJUKUMU:
-    Kusafirisha mizigo mbalimbali itakayopangiwa na  uongozi wa kampuni kwenda nje ya nchi.
SIFA.
-    Mwombaji ni lazima awe na leseni ya kuendesha magari  makubwa, na uzoefu usiopungua miaka 6  wa kusafirisha mizigo. Ya nje ya nchi.
-    Mwombaji akabidhi ushahidi wa barua za makampuni alizofanyia kazi kudhibitisha ameendeshamagari makubwa yanayoenda nje ya nchi kwa muda usiopungua miaka 6.
-    Mwenye uzoefu wa tratibu na kanuni za uvukaji wa mipaka atafikiliwa zaidi.
-    Mwombaji awe na  wadhamini wasiopungua watatu (3) mmoja wa wadhamini hao awe mwajiriwa wa serikalini.
Mwombaji mwenye sifa hizo awasilishe maombi yake ya kazi babla ya tarehe 2 oktoba 2014 kwenye ofisi  zetu zilizopo: 

Kiwanja No.14/15
Eneo la Viwanda  Msavu, mkabala na  hoteli  ya  Midland,
S.L.P 127
MOROGORO.
CHANZO: MWANANCHI LA TAREHE 18 SEPTEMBA 2014.


0 comments:

Post a Comment