Tuesday, June 10, 2014

Kuitwa Kazini Jeshi la Zimamoto na Uokoaji , 10/06/2014


Kuitwa Kazini Jeshi la Zimamoto na Uokoaji , 10/06/2014 Kulingana na ufinyu wa budget Jeshi la Zimamoto na uokoaji wameamua kupunguza idadi iliyokuwa ikitakiwa, majina 160 Kati ya 190 ya Sergeant yameshatoka!

Na majina 437 Kati ya 570 nayo yametoka leo!!!

Sergeant wanatakiwa kuripoti Ukonga Magereza tar 15/6/2014 na Constable wanatakiwa kuripoti Kiwira tar 29/6/2014.....

Majina yametoka kwenye magazeti ya Mwananchi, Uhuru na mengineyo

0 comments:

Post a Comment