Wednesday, May 14, 2014

WANAFUNZI WILAYANI BABATI WAPEWA MAFUNZO YA TAHADHARI NA KINGA YA MOTO

 
 
 
 
Konstebo Omary Kinga wa kikosi cha Zimamoto na Uokoaji Mkoani Manyara akimpa maelezo ya namna ya kuzima moto mmoja kati ya wanafunzi wa shule ya msingi Darajani iliyopo Wilayani Babati.

Ofisa habari na elimu ya umma wa ofisi ya Kamanda wa Zimamoto na Uokoaji Mkoani Manyara, Koplo Chande Abdallah aliyesimama mbele ya wanafunzi wa shule ya msingi Darajali Wilayani Babati akitoa maelezo ya elimu ya zimamoto na uokoaji.
Mmoja wa wanafunzi wa shule ya msingi Darajali Wilayani Babati akijaribu kuzima moto baada ya kupata mafunzo.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment