Wednesday, May 21, 2014

TASWIRA MBALIMBALI UNAPOPANDA MLIMA KILIMANJARO KUPITIA NJIA YA LONDROS

 
 
 
 
 









Sehemu ya kwanza kabisa kuiona unapopanda mlima Kilimanjaro ni misitu uliotokana na kupandwa kwa miti inayotumika kwa ajili ya utengenezaji wa Mbao.
Baadae unaiacha hiyo misitu kisha unakutana na uoto wa asili wa miti mifupi.
Kadri unavyo panda juu hali ya uoto inabadirika na hatimaye kukutana na nyasi fupi fupi iliyojishikiza kwenye miamba.





0 comments:

Post a Comment