Saturday, May 17, 2014

NAFASI ZA KAZI YA UALIMU BAGAMOYO

 
 
 
 


Shule ya sekondari ya wasichana ya Premier iliyoko Kiromo Bagamoyo inapenda kuwatangazia nafasi za kazi ya ualimu kwa masomo yafuatayo

ENGLISH
SWAHILI
BOOKKEEPING
COMMERCE

Fika shuleni Kiromo kwa kuleta maombi yako siku ya mahojiano ni tarehe 22 na 23 May 2014 au kwa maelezo zaidi piga simu namba 0715836237

0 comments:

Post a Comment