Tuesday, May 13, 2014

MUANDISHI MAARUFU WA GAZETI LA "THE WEST AUSTRALIAN" KUTOKA AUSTRALIA KIM MacDONALD AKIZUNGUMZA NA WAZIRI WA MADINI NA NISHATI MH. MUHONGO LIVE IN DAR!!

 
 
 



Mwandishi wa Habari kutoka Gazeti la 'The West Australian' Kim MacDonald, akiandika maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo
alipofanya mahojiano naye mapema leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam.

 
 


"Serikali ya Tanzania imejipanga vipi katika kuhakikisha gesi asili inayoendelea kugunduliwa nchini inakuwa yenye manufaa kwa nchi?" Ndivyo anavyouliza Mwandishi Kim MacDonald kutoka Australia wakati akifanya mahojiano na Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam mapema leo.
 
 



"Moja ya mikakati yetu ni kuhakikisha asilimia 75 ya Watanzania wanapata umeme wa uhakika ifikapo mwaka 2025 ili kuondokana na umaskini". Ndivyo Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo anavyomweleza Mwandishi wa gazeti la "The West Australian' Kim MacDonald, wakati alipohojiwa na Mwandishi huyo mapema leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment