Saturday, May 17, 2014

KATIBU MKUU WA CCM TAIFA NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AWASILI URAMBO NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

 


1Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa skafu mara baada ya kuwasili katika kata ya Uyumbu wilayani Urambo leo akitokea wilayani Sikonge akiwa katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali, kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi na kuimarisha chama ikiwa ni usimamizi wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010, Katika ziara hiyo Kinana anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi ambapo ziara hiyo iliyoanzia mkoa wa mkoa Tabora itaendelea na ziara katika mikoa ya Singida na Manyara.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-URAMBO-TABORA)
2Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Urambo na Waziri wa ushirikiano wa Afrika Mashariki Mh. Samwel Sitta wakati alipowasili katika kata ya Uyumbu.4Wana CCM na viongozi mbalimbali wa chama cha Mapinduzi wakimpokea Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati alipowasili katika kata ya Uyumbu wilayani Urambo.9Mbunge wa jimbo la Urambo na Waziri wa ushirikiano wa Afrika Mashariki Mh. Samwel Sitta akimsikiliza kwa makini Mkuu wa mkoa wa Tabora Bi. Fatma Mwassa wakati wa mapokezi ya Katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.10Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na mbunge wa jimbo la Urambo na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mh. Samwel Sitta katikati ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi.12Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa maabara ya shule ya sekondari ya Uyumbu pamoja na Mbunge wa Urambo na Waziri wa  Ushirikiano wa Afrika Mashariki.13Kikundi cha ngoma za asili kikitumbuiza wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katika kata ya Uyumbu wilayani Urambo leo.14Mbunge wa Urambo na Waziri wa Ushirikiano wa  Afrika Mashariki Mh. Samwel Sitta akishiriki kucheza ngoma katika kijiji cha Izengamatugalo kata ya Ugara.15Vijana wa sungusungu wakicheza ngoma yao16Wana CCM mbalimbali wakiwa katika mkutano huo.17Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi  katika kata ya Ugara wakati alipotembelea zahanati ya kijiji cha Izengamatugalo, kulia ni Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi wa  pili ni Mbunge wa Urambo na Waziri wa  Ushirikiano wa Afrika Mashariki na kushoto ni Kaimu mganga mkuu wa hospitali ya wilaya ya Urambo Dk. Heri Kagwa.18Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozwa na Kaimu Mganga mkuu wa hospitali ya wilaya Urambo Dk. Heri Kagwa wakati alipokagua zahanati ya kijiji cha Izengamatugalo.19Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua zahanati ya kijiji cha Izengamatugalo.21Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua mashine ya kukamua mafuta ya alizeti katika kata ya Itundu, Kulia Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Tabora Mh. Magreth Simwanza Sitta.22aShamba la mahindi la umwagiliaji la kikundi cha hiari ya Moyo katika kijiji cha Urasa kata ya Kipilula23Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitembelea shamba la umwagiliaji la kikundi cha Hiari ya Moyo kijiji cha Urasa kata ya Kipilula huku akiwa ameongozana na mkuu wa shamba hilo mzee Ramadhan Majala.24Mbunge wa jimbo la Urambo na Waziri wa Ushirikiano wa  Afrika Mashariki Mh. Samwel Sitta akitembelea kikundi cha Hiyari ya Moyo.25Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akielekea kukagua kisima  cha maji kwa ajili ya kumwagilia shamba hilo.26Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua kisima cha maji kinachotumika kumwagilia shamba hilo la kikundi cha Hiari ya Moyo akiongozwa na mzee Ramadhana Majala.27Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia mabomba madogo ya kumwagilia maji iliotandazwa katika shamba hilo.28Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Mzee Ramadhan Majala kiongozi wa mradi huo.Kushoto ni Mbunge wa jimbo la Urambo na Waziri wa Ushirikiano wa  Afrika Mashariki Mh. Samwel Sitta.29Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipiga picha na wanakikundi wa kikundi cha Hiari ya Moto wilayani Urambo.30Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wafanyakazi wa hospitali ya wilaya ya Urambo mara baada ya kuwasili hospitalini hapo.31Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua jengo jipya la wodi ya wazazi lililojengwa katika hospitali ya wilaya ya Urambo.32Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua wodi hiyo.33Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua jengo la wazazi ktika hospitali hiyo huku akiongozana na Mbunge wa jimbo la Urambo na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mh. Samwel Sitta.34Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiondoka mara baada ya kukagua jengo hilo.35Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki katika ujenzi wa ofisi ya CCM Tawi la Mabatini. kushoto anayeshirikiana naye ni Mbunge wa jimbo la Urambo na Waziri wa Afrika mashariki Mh. Samwel Sitta.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment