
Ilikuwa wakati Diamond akisalimiana na mastaa mbalimbali, alipofika kwa Wolper aliigusa kidogo, ikaanguka
Paparazi wetu alipomuuliza Wolper sababu ya glasi hiyo kuvunjika, alijibu: "Hata mimi sijui nini kimetokea, tulikuwa tunasalimiana ghafla tu glasi yake ikadondoka na kupasuka, sijui ni miujiza au nini loh!"
Diamond naye akatia neno: "Nimeshtukia glasi ipo chini tu, daah! Sina hata cha kueleza juu ya hili."
0 comments:
Post a Comment