Thursday, August 15, 2013

RAISI JAKAYA KIKWETE ALIVYOKABIDHIWA JEZI YA LIONEL MESSI ILIYOSAINIWA NA WACHEZAJI



RAISI JAKAYA KIKWETE ALIVYOKABIDHIWA JEZI YA LIONEL MESSI ILIYOSAINIWA NA WACHEZAJI WOTE WA
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bi. Kushilla Thomas akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete jezi iliyosainiwa na wachezaji wote wa timu ya FC Barcelona Ikulu jijini Dar es salaam jana ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuendeleza soka na ikiwa ishara ya kutambua ushirikiano wa kihistoria kati ya Castle Lager na FC Barcelona uliosainiwa hivi karibuni huko Camp Nou Hispania. Wanaotazama ni Meneja Mauzo wa TBL Kanda ya Kusini James Bokella (wa kwanza kulia) na Meneja Masoko wa TBL Bi. Natalia Celani (wa pili kulia). Na kushoto ni Meneja wa Castle Lager, Kabula Nshimo na Aggrey Marealle, Mkurugenzi wa Executive Solutions washauri wa mahusiano wa TBL. (Picha ya Ikulu)


CHANZO : SHAFIH DAUDA



Related Posts:

  • Job Title : Principal AccountabilityNBCJob Title : Principal Accountability Requirements : Graduate in Business Management/Administration, Finance, Economics or Accounting Job Descripti… Read More
  • Senior Biogas Technician-ARUSHAJob Title : Senior Biogas Technician Requirements : Tanzanian citizen with a diploma or Degree in Civil Engineering or Renewable Energy Technology Jo… Read More
  • Head Of Internal Audit Unit -DUWASAJob Title : Head Of Internal Audit Unit Requirements : Holder of a Bachelor of Commerce in Accounting or equivalent degree qualifications with minimum three (3) years of … Read More
  • MATOKEO KIDATO CHA NNE 2011Hata kama zero ziko nyingi, angalieni tu maana ni watoto wetu hawa.  Angalia katika tovuti ya http://www.necta.go.tz #TakeACloserLook Poleni wazazi na watanzania wote. "Mwingine aliandika bongo fleva,  ngoja niwasomee, wa… Read More
  • Tanzania Mining Sales Manager-MANTRAC MANTRAC Requirements : Degree in Engineering, Business Administration or Equivalent. Must possess high level of communication skills Job Description … Read More

0 comments:

Post a Comment