Sunday, August 25, 2013

MSONDO NGOMA YATUMBUIZA KWA MARA YA KWANZA BILA MUHIDIN MAALIM GURUMO AMBAYE AMESTAAFU RASMI



MSONDO NGOMA YATUMBUIZA KWA MARA YA KWANZA BILA MUHIDIN MAALIM GURUMO AMBAYE AMESTAAFU RASMI
Baadhi ya wasanii wa bendi ya msondo ngoma wakitumbuiza kwa mara ya kwanza baada ya mwanamziki mkongwe wa bendi hiyo muhidini Gurumo kustaafu kutoka kushoto ni Shabani Lendi,Hamisi Mnyupe,Saidi Mabera,Juma Katundu na Shabani Dede.
Baadhi ya wasanii wa bendi ya msondo ngoma wakitumbuiza kwa mara ya kwanza baada ya mwanamziki mkongwe wa bendi hiyo muhidini Gurumo kustaafu kutoka kushoto ni Shabani Lendi,Hamisi Mnyupe,Saidi Mabera,Juma Katundu na Mustafa Pishuu.
Wasanii wa bendi ya msondo wakiwajibika wakati wa onesho lao kutoka kushoto ni Abdul Ridhiwani,Eddo Sanga,Othumani Kambi na Juma Katundu 
Wasanii wa bendi ya msondo wakiwajibika wakati wa onesho lao kutoka kushoto ni Abdul Ridhiwani,Eddo Sanga,Othumani Kambi na Juma Katundu pamoja na Mustafa Pishuu 
Wasanii Hamisi Mnyupe kushoto na Romani Mng'ande wakiwajibika jukwaani. Picha na www.burudan.blogspot.com



0 comments:

Post a Comment