Thursday, August 15, 2013

ETI KISASI KIPI NI KIZURI KWA MSALITI WA MAPENZI?



ETI KISASI KIPI NI KIZURI KWA MSALITI WA MAPENZI?
Jamani mwenzangu ananisaliti , nimelia usiku kucha baada ya kugundua kazaa na rafiki yangu na pia jana kafumaniwa akiwa anazini na mke wa rafiki yake.
Jamani nataka nimpe maumivu pia, maana anajidai ana moyo wa chuma na haheshimu hisia za wenzake.
Ananifanyia vituko vya ajabu na tumbo langu la miezi nane.
Nina uchungu sana na sina njia nyingine ya kuondoa dukuduku langu zaidi ya kisasi kitakatifu


0 comments:

Post a Comment