Wednesday, October 17, 2012

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Akutana na Watanzania nchini Uingereza


 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  na Mkewe Tunu wakisalimiana ana wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza kabla ya kuzungumza na watanzania waishio nchini uingereza jijini London Oktoba 16, 2012. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama kitabu cha wageni baada ya kuwasili kwenye ubalozi wa Tanzani nchini Uingereza uliopo London kuzunumza na Watanzania waishio Uingereza Oktoba 16, 2012. Kushoto ni mkewe Tunu na kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na mkewe Tunu wakiwa  na Mtangazaji wa Shirika la Habari la Uingereza BBC, Zawadi Machibya (kulia) wakati alipozungumza na Watanzania waishio Uingereza, kwenye Ubalozi wa Tanzania uliopo London Oktoba 16, 2012. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Related Posts:

  • Wenger hails 'on-fire' striker Van Persie Wenger hails 'on-fire' striker Van Persie   Previous Image| Pause| Next Image 2 / 4 Arsenal manager Arsene Wenger believes hat-trick hero Robin van Persie is benefiting from playing in a side with an atta… Read More
  • Thailand PM Yingluck hopeful as inner Bangkok stays dry  Thailand PM Yingluck hopeful as inner Bangkok stays dry Over two million people have been affected by the flooding since July Continue reading the main story Related Stories In pictures: Waters threaten Bangkok Fl… Read More
  • Neno la LeoHere is your word for today:Verse:           Deuteronomy 28:12 The Lord will open the heavens, the storehouse of His bounty, to send rain on your land in season and to bless all the work of your hands. - God wants to bless yo… Read More
  • Neno la leoHere is your word for today:Verse:           Isaiah 25:9 In that day they will say, 'Surely this is our God; we trusted in Him, and He saved us!'- There is no reason to doubt God. - Surely, He is a faithful and trustw… Read More
  • Nashukuru kwa salaam zenu kutoka kwa Mh.Zitto KabweBlog hii inakutakia matibabu mema,maisha mema na Afya njema.Ndugu zangu, Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kuniwezesha muda huu kuwa na nguvu za kukaa katika kiti na kuweza kuandika haya mac… Read More

0 comments:

Post a Comment