Rais Jakaya Kikwete akioneshwa na Katibu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam M. Mkosimonga uharibifu uliofanywa kwenye Kanisa hilo wakati wa vurugu za Waislam jana huko Mbagala.
Rais Kikwete akioneshwa na Askofu Msaidizi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Dar es Salaam na Pwani, Mkosimonga uharibifu uliofanywa kwenye Kanisa hilo.
Rais Jakaya Kikwete akiangalia uharibifu mkubwa uliofanywa katika Kanisa la Pentekoste
Rais Kikwete akioneshwa na Mchungaji Alkwin Mbawi uharibifu uliofanywa kwenye magari yaliyokuwa yameegeshwa ndani ya Kanisa Pentekoste
0 comments:
Post a Comment