Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Vicky Macha (juu na chini) likishushwa na kuingizwa kwenye sehemu ya kuhifadhia maiti katika Hospitali ya KCMC mjini Moshi muda mfupi uliopita. Maziko yanatarajiwa kufanyika kesho Jumatano.
Mama wa marehemu Vicky (katikati) akilia kwa uchungu kabla ya mwili kuhifadhiwa KCMC.
Hapa ni mzunguko wa katikati ya Mji wa Moshi ambako panaonyesha taswira halisi ya usafi wa mji huo pamoja na kusisitiza umuhimu wa maisha kwa uhai wa viumbe vyote (Maji ni Uhai).
Wanahabari kutoka Iringa wakiwa nje ya Hospitali ya KCMC kabla ya kuuhifadhi mwili wa marehemu Vicky Macha muda mfupi uliopita. Maziko yatafanyika kesho Jumatano.

0 comments:
Post a Comment