Saturday, October 13, 2012

Kamanda wa Polisi Mkoani Mwanza Auwawa.


Ilikuwa ni majira ya saa  8 usiku huu napata taarifa ambazo hatimaye zinathibitishwa kutoka kwa waugwana kuwa  Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza Liberatus Barlow ameuawa kwa kupigwa risasi usiku huu maeneo ya hotel Tai 5, Kitangili jijini Mwanza .


Kwa Hisani ya G Sengo

0 comments:

Post a Comment