Tuesday, September 25, 2012

Tamasha la kimataifa la Sanaa lafunguliwa Bagamoyo



Wasanii wa Kikundi cha Shada, wakifanya onyesho la sarakasi katika ufunguzi wa tamasha la kimataifa la Sanaa Bagamoyo. Tamasha hilo limefunguuliwa rasmi Jumatatu na litaendelea kwa siku tano hadi Jumamosi ijayo
Moja kati ya mambo yaliyokuwa kivutio kikubwa ni jinsi watoto hao walivyoonyesha umahiri katika kuruka kwenye maringi.
Wasanii wa kundi la Jeshi wakifanya onyesho la Mzingaombwe katika Tamasha la Sanaa la Bagamoyo.

Related Posts:

  • Leadership facilitator-Mtwara Leadership facilitator-Mtwara Mtwara, Tanzania 24months Ministry of Education, Zanzibar (Tanzania) … Read More
  • SENIOR PURCHASE OFFICER POSITION SENIOR PURCHASE OFFICER POSITION KEY RESPONSIBILITIES. • Ensure close and productive relationship with suppliers (Total cost of Ownership) • Facilitate and coor… Read More
  • INTERNAL AUDITOR POSITION INTERNAL AUDITOR POSITION Responsibilities • Ensure that internal procedures, controls, processes and policies agree with corporate policies, industry standards and regu… Read More
  • PAYROLL ACCOUNTANT POSITION PAYROLL ACCOUNTANT POSITION KEY RESPONSIBILITIES: • Work closely with Human Resource department and prepare and finalize monthly payroll of (1 ,000+ staff) along with … Read More
  • BDM - TANZANIA BDM - TANZANIA Global Careers on behalf of our corporate Client based in Tanzania is looking into filling the following Position/ BDM - TANZANIA Purpose … Read More

0 comments:

Post a Comment