Tuesday, August 7, 2012

Waziri mkuu katika banda la Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye maonyesho ya nanenane Dodoma



 Mhe. Waziri Mkuu akiangalia mzinga wa nyuki wasiouma katika shamba darasa la ufugaji nyuki 
  Mhe. Waziri MKuu akitoa maelezo baada ya kusikiliza maelezo kutoka kwa mtaalamu anaendesha mafunzo maalam ya ufugaji nyuki yanaqyotolewa ndani ya banda la Wizara ya     Maliasili na Utalii.
  Mhe. Waziri MKuu akiangalia sampuli za asali kutoka kwa moja ya wadau wa bidhaa za Nyuki wanaoshiriki maonyesho ya nane nane ndani ya banda la wizara ya Maliasili na Utalii.
Mhe. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akikaribishwa na Naibu Waziri Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu baada ya kuwasili katika banda la Wizara katika maonyesho ya Wakulima ya Nanenane kitaifa yanayoendelea mkoani, Dodoma. Wazir Mkuu Mhe. Mizengo Pinda atembelea maonyesho ya Nyuki katika Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii , katika viwanja vya Nzuguni, Dodoma.

0 comments:

Post a Comment