Wednesday, August 8, 2012

TANGAZO KWA UMMA YAHUSU WANANCHI KWA UJUMLA NA WAHANGA WA BOMOA BOMOA NYUMBA ZA WAKAZI WA KOTA ZA GEREZANI KARIAKOO


 
Mwanasheria wa wakazi wa zilizokua kota za bandari Gerezani , Dkt. Sengondo Mvungi (kulia) akizungumza na wateja wake. Dar es salaam  Katika moja ya mikutano na wakazi hawio kuhusu maendeleo ya kesi yao iliyo mahakama kuu ya Tanzania na  kwa mujibu wa kesy namba 44 ya mwaka 2012 taarifa zilizochapichwa na mtendaji mkuu wa  wakara wa usafiri wa  haraka 'DART' kwa wahanga wakapokee fidia zao linakiuka  amri ya Mahakama Kuu,iliyotajwa tarehe 28,6,2012  hivyo mnashauliwa kuto tii agizo hilo pia waanga wa bomoa bomoa wanalifiwa kuhudhuria kikao cha pamoja na wakili ni tarhe 11,8,2012 katika ukumbi mtakaoarifiwa na kamati yao Imetolewa na DR,Sengondo Mvungi

0 comments:

Post a Comment