Friday, July 6, 2012

TANGAZAO LA KAZI YA ULINZI NAFASI 100


KAMPUNI YA NEW IMARA SECURITY CO.LTD

      INAHITAJI WALINZI 100 WENYE SIFA ZIFUATAZO;


       1. AWE MTANZANIA MWENYE UMRI WA KUANZIA MIAKA 18 NA KUENDELEA.
     2. AWE NA CHETI CHA KUHITIMU MAFUNZO YA MGAMBO, SKAUTI AU KUSTAAFU KWA HESHIMA KATIKA JESHI LA POLISI, JWTZ, JKT NK.


    3.AANDIKE BARUA YA MAOMBI NA KUAMBATANISHA PICHA NNE PASSPORT SIZE.

     4.BARUA ZA WADHAMINI WAWILI ZENYE PICHA MOJA MOJA
     5 BARUA YA AFISA MTENDAJI MAHALA ANAPOTOKEA

 MBEYA ofisi makao makuu ipo eneo la viwanja vya Sokoine Mbeya Mjini mkabala na benki ya NMB au katika matawi yake yaliyopo wilaya ya Kyela eneo la Stendi ya Mabasi, Tunduma karibu na CCM, Rungwe (Tukuyu) karibu na Hotel ya Land Mark.

DODOMA Tupo karibu na Soko la Kariakoo.
MTWARA ofisi zipo eneo la soko kuu mkabala na Msikiti Mkuu.
LINDI ofisi zipo Barabara ya Kawawa
DAR ES SALAAM ofisi zipo Buguruni Mandela Road
IRINGA tupo uwanja wa Samora.
NJOMBE tupo eneo la Makambako karibu na Posta.

  KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU 
                                 0754 443 95,  0715 166045
                                 0784 728691, 0715 295206

0 comments:

Post a Comment