Tuesday, July 3, 2012

Security Officers

Kampuni mpya ya Ulinzi, Usalama na Inteligensia inakaribisha maombi ya watu wachache wenye sifa zifuatazo:

1. Jinsia: Kiume na Kike
2. Umri: Miaka kati ya 20 na 30
3. Elimu: Kuanzia Form IV na Kuendelea:
4. Lugha: Kiingereza na Kiswahili
5. Tabia: Jasiri na mwenye tabia njema na asiye na record yeyote ya uhalifu (Police Clearance Certificate itatakiwa).


Kazi zilizopo:

1. Static Security Officers
2. Incident Response Guards
3. Bodyguards - Waliopitia mafunzio ya ukakamavu kama Karate watapewa kipau mbele
4. Intelligence & Investigation Officers - Walio na Elimu ya Juu
5. Training in Range & Weapon Services
7. Security Consultancy Services
8. Security Communications

Tuma maombi yako na CV kwa firstresponsebrigade@gmail.com

0 comments:

Post a Comment