Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akibadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik, baada ya kumalizika hafla ya Maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mashujaa,yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mnazi mmoja palipojengwa Mnara Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam,Didas Mtatiro, wakati wa Maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mashujaa,yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mnazi mmoja palipojengwa Mnara Jijini Dar es Salaam
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na baadhi ya Wazee waliopigania Uhuru wa Tanzania wakati wa Maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mashujaa,yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mnazi mmoja palipojengwa Mnara Jijini Dar es Salaam

Baadhi ya Wananchi wa Jijini Dar es Salaam waliohuduria katika Maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mashujaa,yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mnazi mmoja palipojengwa Mnara Jijini Dar es Salaam,wakifuatilia kwa makini utaratibu wa shuhuli ulivyoendelea.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar
0 comments:
Post a Comment