Napenda kuchukua fursa hii kama mtanzania kuwahabarisha WATANZANIA WOTE
kuwa Shirika letu la Ndege la Taifa ATCL – Imeleta ndege aina
ya boeing 737-500 yenye uwezo wa kubeba abiria 108 kwa mkupuo.
Safari zake zitaanza rasmi ijumaa tarehe 18 Mei 2012, kwa kwenda Mwanza
kupitia Kilimanjaro, na muda wa safari ni DAR-KILIMANJARO itaondoka saa 1
asubuhi na kutarajiwa kufika Kilimanjaro saa moja na dk 55; kutoka
Kilimanjaro kwenda Mwanza saa 2 na dk 55 asbh na kutarajiwa kufika Mwanza
saa3 na dk 55 asubuhi hiyo hiyo, Kisha kuondoka Mwanza Saa 4 na dk 55 asbh
na kufika Dar saa 6 na dk 25.
Ratiba ni kama inavyooneshwa hapa chini ( hii ni ya tarehe 18 May tu na
ni inaugural flight) .
NAULI KWA SAFARI HIZI NI TSHS199,000/= KWA KWENDA NA KURUDI, NA KWA ONE
WAY NI TSHS139,000/=
Karibuni sana.
DAR-JRO: ETD 07:00 ETA 7:55
>
> JRO-MWZ: ETD 08:55 ETA 9:55
>
> MWZ-DAR: ETD 1055 ETA 12:25
Kisha ratiba inaendela rasmi siku inayofuata yaani Jumamosi nazo itakuwa
kama ifuatavyo
SATURDAY
DEP ARR
DAR MWANZA 6:30 8:00
MWZ DAR 8:30 10:00
JIONI
DAR MWZ 17:00 18:30
MWZ DAR 19:00 20:30
SUNDAY
DAR JRO 6:30 7:25
JRO MWZ 7:55 8:55
MWZ DAR 9:25 10:55
JIONI
DAR MWZ 17:00 18:30
MWZ JRO 19:00 20:00
JRO MWZ 20:30 21:25
MONDAY
DAR MWANZA 6:30 8:00
MWZ DAR 8:30 10:00
JIONI
DAR MWZ 17:00 18:30
MWZ DAR 19:00 20:30
TUESDAY
DAR MWANZA 6:30 8:00
MWZ DAR 8:30 10:00
HAKUNA NDEGE TUESDAY JIONI
WEDNESDAY
DAR JRO 6:30 7:25
JRO MWZ 7:55 8:55
MWZ DAR 9:25 10:55
JIONI
DAR MWZ 17:00 18:30
MWZ JRO 19:00 20:00
JRO MWZ 20:30 21:25
THURSDAY
DAR MWANZA 6:30 8:00
MWZ DAR 8:30 10:00
JIONI
DAR MWZ 17:00 18:30
MWZ DAR 19:00 20:30
FRIDAY
DAR JRO 6:30 7:25
JRO MWZ 7:55 8:55
MWZ DAR 9:25 10:55
JIONI
DAR MWZ 17:00 18:30
MWZ JRO 19:00 20:00
JRO MWZ 20:30 21:25
Fare: Tshs199,000 To & Fro
One way Tshs139,000
Karibuni Watanzania wenzangu tuijenge na kuiimarisha ATCL!
Wednesday, May 16, 2012
SAFARI ZA ATCL Kuanza Ijumaa 18/05/2012
By Gemmstore at 1:33 PM
No comments
Related Posts:
Field Sales Engineer Field Sales Engineer Sandvik Hungary – Budapest area of Eger seeks: Field Sales Engineer The role Field Sales Engineer provides the necessary day-to-day sa… Read More
Customer Manager, GTME Customer Manager, GTME As commercial business people in Diageo, we are proud to lead the future of some of the world's most famous and admired brands. Brands built … Read More
CONSULAR ASSISTANT - EMBASSY OF THE FEDERATIVE REPUBLIC OF BRAZIL From the Daily News of 29th MayEmbassy Of The Federative Republic Of BrazilThe Embassy of Brazil is looking for the following competent professional:Consular AssistantRequirements:Relevant work experi… Read More
Technical Assistant - KUBE-PKH Study, Jakarta Technical Assistant - KUBE-PKH Study, Jakarta Technical Assistant – KUBE-PKH Study National Team for Accelerating Poverty Reduction (TNP2K) Jakarta, Indonesia – Department of Foreign… Read More
COTTON PROGRAMME DIRECTOR From the Daily News of 29th MayThe Cotton and Textile Development Programme (CTDP) is an initiative of Tanzania Gatsby Trust (TGT) and is funded by the Gatsby Charitable Foundation (GCF) and the UK… Read More
0 comments:
Post a Comment