Monday, May 14, 2012

CCM YAFANYA UTEUZI WA MAKATIBU WA WILAYA


Katibu wa Itikadi na Uenezi wa NEC Chama cha Mapinduzi (CCM) Bw. Nape Nnauye.
---
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa iliyokutana tarehe12/5/2012 chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mambo mengine ilifanya uteuzi wa Makatibu wa CCM wa Wilaya kama ifuatavyo:-
(1) NduguGrayson Mwengu
(2) NduguAbdallah M. Hassan
(3) NduguErnest Makunga
(4) NduguMgeni Haji
(5) NduguInnocent Nanzabar
(6) NduguNicholaus Malema
(7) NduguMercy Moleli
(8) NduguMichael Bundala
(9) NduguElisante G. Kimaro
(10) NduguZacharia Mwansasu
(11) NduguEliud Semauye
(12) NduguHabas Mwijuki
(13) NduguLoth Ole Nesele
(14) NduguCharles Sangura
(15) NduguDonald Magessa
(16) NduguFredrick Sabuni
(17) NduguJaneth Mashele
(18) NduguDaniel Porokwa
(19) NduguZongo Lobe Zongo
(20) NduguMwanamvua Killo
(21) NduguJoyce Mmasi
(22) NduguSimon Yaawo
(23) NduguEpimack Makuya
(24) NduguAmina Kinyongoto
(25) NduguAsia S. Mohammed
(26) NduguVenosa Mjema
(27) NduguAugustine Minja
(28) NduguElly H. Minja
(29) NduguErnest Machunda
(30) NduguSelemani Majilanga
(31) NduguChristina Gukwi
(32) NduguJoel Kafuge Mwakila
Vituo vyao vya kazi watapangiwa baadaye.

Imetolewa na:-
Nape Moses Nnauye,
KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA ITIKADI NA UENEZI
13/05/2012

0 comments:

Post a Comment