Tuesday, April 10, 2012

SAFARI YA KANUMBA KUELEKEA MAKABURINI...


Mwili wa marehemu Steve Kanumba ukiwa katika Viwanja vya Leaders.

Maelfu wa wananchi waliohudhuria mazishi hayo wakielekea makaburini.


Waombolezaji wakilizuia gari lenye mwili wa marehemu wakati wa safari ya kuelekea makaburini.


Umati wa watu ukielekea makaburini.


Askari wakidumisha ulinzi wakati wa safari ya kuelekea makaburini.


Wasanii Wema Sepetu (katikati) na Aunty Ezekiel (kulia) wakielekea makaburini.


Aunty Ezekiel akimwelezea marehemu Kanumba.


Baadhi ya waombolezaji wakiwa juu ya mti ili kushuhudia vizuri mazishi ya Steve Kanumba.

PICHA NA MAKONGORO OGING'/GPL

0 comments:

Post a Comment