NAFASI YA KAZI KATIKA INTERNET CAFÉ – MAENEO YA MBEZI BEACH DAR SALAAM
TUNAHITAJI KIJANA MWENYE UZOEFU KWENYE ENEO LA Information technology (IT)
· Awe na uwezo wa kuendesha internet café na kufanya kazi zote za Troubleshooting
· Awe na kiwango cha cheti au Diploma kutoka katika moja ya vyuo vinavyotambulika ndani au nje ya Tanzania
· Awe na umri usiopungua miaka 25
· Wawe anaishi maeneno ya karibu mfano- Kawe, Mbezi Beach,Mwenge, Tegeta na Salasala au ambaye atakuwa tayari kuishi kati ya maeneo haya
Wasilisha maombi yako kabla ya tarehe 4 mei 2012, kupitia email hotpot80@ymail.com au simu namba 0717 271729
0 comments:
Post a Comment