Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa ushirikiano wa Bodi ya Mapato Zanzibar wameamua kuanzisha kozi ya ujasiliamali kwa walipakodi waliokatika biashara nawatakaosajiliwa badae. Jambo hili limepata msukumo kutokana na ukweli kwamba mlipakodi ndie muhusika mkuu katika kuhamasisha mapato ya serikali zote mbili, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Mapinduzi Zanzibar. Huduma kwa mteja nisharti kwa ukusanyaji bora wakodi. Muhimu, semina katika ujasiliamali zimekuwa zinafanyika na kuwahusisha wadau wote katika usimamizi wa kodi.
Wajasiliamali wakati na wadogo wanachangia mno katika mkakati wakukuza uchumi na kuondoa umaskini; MKUKUTA, kwa Tanzania Bara na MKUZA kwa Zanzibar. Kwahiyo ni muhimu kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania na bodi ya mapinduzi Zanzibar kuangalia kazi zao kama washirika wa makusanyo ya Mapato na kutoa mafunzo kwa wadau wengine kwajinsi gani waboreshe usimamizi wa biashara na kuongeza mauzo.
Faidazaelimuyaujasiriamalininyingikamazilivyoorozeshwahapachini:-
(i) Upunguzajiwaumaskinikatikajamiizetu
(ii) Kuongezafursazaajira
(iii) Utanuzikatikabiashara.
(iv) KupanuawigowamakusanyoyakodinakuongezamapatoyaSerikali.
Katika semina mbalimbali zilizoendeshwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania na Bodi ya Mapinduzi Zanzibar juu ya usimamizi wa kodi, mahitaji ya elimu ya ujasiriamali kwa walipa kodi yamefikiwa. Wajasiriamali lazima wafundishwe sheria na kanuni za ulipaji kodi. Walipakodi wengi hawajui zaidi juu ya ujasiriamali na kazi yake katika kukuza biashara.
(i) Wanakosa mbinu za usimamizi wa biashara.
(ii) Wanakosa ujuzi wa usimamizi wa malengo ya mteja
(iii) Hawafikii changamoto za ushindani
(iv) Wanakosa maarifa ya ujuzi katika uuzaji bora
(v) Hawana ujuzi wakuhifadhi kumbukumbu
(vi) Wanakosa ujuzi wa usimamizi wa malengo ya mteja
(vii) Hawafikii changamoto za ushindani
(viii) Wanakosa maarifa ya ujuzi katika uuzaji bora
(ix) Hawana ujuzi wa kuhifadhi kumbukumbu
Katika semina mbalimbali zinazoandaliwa na TRA na ZRB katika usimamizi wa kodi ,elimu ya ujasiliamali kwa walipa kodi inahitajika .wajasikli9amali wanapasa kufundishwa sheria na taratibu za ulipaji w akodi walipa kodi weengi hawwana elimu ya ujadsiliaamli na hawajui umuhimu wake kwen ye biashara.
i) hawana mbinu za usimamizi w a biashara
ii) hawana taaluma ya uongozi wa kuwalenga wateja husika
iii) hawawezi kupambana n a changamoto za ushindani
iv) hawana uelewa wa uongozi thabiti
v) Hawana uelewa wa utunzajiwa kumbukumbu.
A) LENGO KUU
Lengo kuu la kuandaa semina kwa wajasiliamali ni kuwa na ufahamu kati ya wajasiliamali na taasiisi husika katika maandalizi ya awali pamojqa na taratibu za kuanza na kusimamia biashara endelevu
B) MALENGO AINISHI
i) kumsaidia mjasiliamali katika kuendeleza biashara yake
ii) kutengeneza uhusiano mzuri na hai kati ya walipa kodi na TRA/ZRB
iii) kutoa taaluma ya utunzaji wa kumbuikumbu ili kufuatilia taarifa za biashara
iv) kuongeza uwazi katika ukusanyaji wa kodi ili kupunguza hofu kwa wajasiliamali wodogo na wa kati pamoja na kutengeneza/kuandaa matarajio bora ya biashara
B) SANAA YA UJASILIAMALI
Neno ujasiliamali limetokana na neno jasiri lenye maana:-
i) mategemeo ya kutafuta mali
ii) hamu/shauku ya kupata mali
iii) uwezo wa kufahamu/kupata fursa zilizopo
iv) ujasiri wa kupata fursa zilizopo
v) uwezo wa kukabiliana na kutatua vikwazo vilivyopo kwenye biashara,
Hivyo, mjasiliamali ni mtu mwenye:-
uwezo wa kutambua na kuendeleza fursa zilizopo kwa kuanzisha na kusimamia biashara kwa kutumia mihimili muhimu ya biashara ambayo ni:-rasilimali watu na mtaji (rasilimali fedha)
mpangaji mwenye dira na dhamira ya kuendesha biashara yake kwa mafanikio
kujiamini, kujiendesha na utayasri wa kufanya kazi kwa bidii,mwenye kujua mahali alipokosea na kujisahihisha haraka pia mwenye utayari qwa kuibua vipaji vipya,njia mpya,mbunifu ili aweze kufanikisha mipango yake ya biashara.
C) KUKUA/KUANGUKA KWA BIASHARA
Biashara inaanzishwa iliwe endelevu,Hjakuna anayependa kuona biashara yake inakufa,sasa swali la kujiuliza ni kwanini biashara zinakufa/kuanguka?
o Kutokana na tathimini iliyofanywa america mwaka 1981,ilionakana kua kati ya biashara 100 zuilizoanzishwa,65zilikufa ndani ya miaka mitatu na 17 kati ya biashara zilizobaki zilikufa miaka miwili baaday.Hii inamaana kwamba,ni 18% tu ya biashara ziliendelea zaidi ya miaka 5 ya kwanza.
Je, nini tathimini ya tanzania?
Sababu ya biashara kuanguka.
Mazingira yanayoilinda biashara yataelezewa kwenye sehemu yake husika,hata hivyo kuna sababu za kuanguka kwa biashara ambazo ni:-
Ø Mtaji hautoshi
Ø Kutokua na uelewa na taaluma ya kutosha ya biashara
Ø Usimamizi mbovu wa biashara(uchoyo,uadilifu mdogo)
Ø Uchaguzi mbaya wa sehemu ya biashara
Ø Sheria zisizorafiki
Ø Kufilisika
Ø Ukosefu wa kutimiza/'kufikia mataajio ya wateja
Ø Majanga na maafa
Biashara endelevu
Sababu zinazofanya biashara kuendelea zitajadiliwa kwa kina katika sehemu yake husika,hata hivyo baadhi ya sababu ni:-
Ø Chagua mtindo sahihi kulingana na biashaa yako (ubia,kampuni na ushirika)
Ø Chagua/weka uiongozi makini na wafanyakazi wenye taalumayenye kukidhi matarajio ya wateja na biashatra kwa ujumla
Ø Weka biashara yako katika sehemu husika
Ø Weka/panga mikakati ya kukabiliana na ushindani wa biashara
Ø Andaa na tunza mizania sahihi ya mahesabu ya biashara
0 comments:
Post a Comment