SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO
UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII JULIANA MPANDUJI, COTWU ATAWASILISHA:
MADA: Haki ya Ajira Kwa Wanawake Katika Mchakato wa Katiba
Lini: Jumatano Tarehe 25 Aprili, 2012
Muda: Saa 09:00 Mchana – 11:00 Jioni
MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni
WOTE MNAKARIBISHWA
0 comments:
Post a Comment