Monday, January 23, 2012

Mambo ya michezo kama yalivyotukia Jana, Arsenal akapata kipigo, huku MAN CITY wakiendeleza kipigo kwa HOTSPURS.

Mshambuliaji wa Manchester United, Danny Welbeck (jezi namba 19) akishangilia bao la pili aliloifungia timu yake dhidi ya Arsenal wakati wa mechi ya Ligi Kuu ya England iliyopigwa katika Uwanja wa Emirates jijini London leo. Man U wameshinda 2-1.

Beki wa Manchester City, Joleon Lescott (katikati) akishangilia bao la pili aliloifungia timu yake dhidi ya Tottenham Hotspur wakati wa mechi ya Ligi Kuu ya England iliyochezwa katika Uwanja wa Etihad jijini Manchester leo. Man City wameshinda 3-2. Picha Zote na AFP




0 comments:

Post a Comment