Thursday, December 22, 2011

MAFURIKO YAUA WATU ZAIDI YA SITA, YAHARIBU MALI LUKUKI

Picha na Maelezo kwa hisani ya www.globalpubrisherstz.info

Hii ndiyo hali halisi kwa leo Morogoro Road, kituo cha Jangwani au Kajima. Maji yamefurika na kupita juu ya daraja lililopo eneo hilo kama inavyoonekana pichani. Nyumba nyingi zilizopo eneo hilo zimemezwa!

...abiria wakiwa wametahayari, hakuendeki Kariakoo wala Magomeni!

MVUA ambazo zimeendelea kunyesha kwa siku ya pili sehemu mbalimbali nchini, zimeleta maafa makubwa na uharibifu wa mali katika maeneo mengi ya jiji la Dar es Salaam Miongoni mwa maafa hayo hadi tunakwenda mtamboni ni vifo vya watu sita ambao walitajwa rasmi na mamlaka za jiji na nyumba nyingi zimeharibiwa vibaya na watu kupoteza mali zao nyingi, hali ya mvua ya leo afadhali ya jana!

PICHA NA ISSA MNALLY, GPL

 

 

 

0 comments:

Post a Comment